CHUO CHA UALIMU SINGIDA
CHENYE USAJILI NAMBA CU 73
CHUO KINA USAJILI WA
NACTE Na REG/TLF/010P
KINATANGAZA NAFASI ZA
MASOMO
KWA MUHULA WA KWANZA JULAI 2014 KAMA
IFUATAVYO.
1. CHETI CHA
MSINGI CHA ELIMU YA UALIMU WA MSINGI NGAZI YA NNE (NTA 4) MUDA MWAKA
MOJA KWA MWENYE UFAULU WA DARAJA LA NNE (IV) MWENYE PASS NNE (D NNE). Fomu zina
patikana Chuo cha Ualimu Singida.
2. UALIMU
DARAJA LA TATU ‘A’ MIAKA MIWILI KWA WALIOMALIZA MASOMO YAO KUANZIA MWAKA 2004 –
2012 AMBAO WANA ALAMA 27 NA WALIOMALIZA MASOMO YAO MWAKA 2013 WENYE ALAMA
MWISHO 34. Fomu zina patikana Chuo cha
Ualimu Singida.
3. STASHAHADA
YA UALIMU SHULE ZA MSINGI MAFUNZO KAZINI MUDA WA MIAKA MIWILI, AWE NA CHETI CHA
DARAJA LA TATU ‘A’ NA AWE NA UZOEFU KAZINI ANGALAU MIAKA MIWILI (2) AU AWE NA
CHETI CHOCHOTE CHA CHUO KINACHOTAMBULIKA NA NACTE. JISAJILI KUPITIA TOVUTI YA
BARAZA LA ELIMU YA UFUNDI TANZANIA (NACTE) www.nacte.go.tz
Ø KWA
MAWASILIANO PIGA SIMU NA:
0784-42 76 58, 0657-12 12 31,
0754-76 86 02 NA 0784-68 01 31.