Mchekeshaji/muigizaji maarufu wa kipindi cha Mashtaka
kinachorushwa na Citizen TV, Nancy ‘Jastorina’ Nyambura amefariki jana
Jumamosi (July 26).
Kwa mujibu wa Citizen TV, Jastorina alikuwa anaumwa muda mrefu ugonjwa wa ‘Meningitis’ na alikuwa akipata matibabu katika hospitali ya Kenyatta nchini Kenya.
Jastorina ambaye mwaka huu alishinda tuzo ya Kalasha kama msanii bora wa Ucheshi (Comedy), ameacha watoto wawili wa kiume.
Apumzike kwa Amani. Amina!