Kikundi
cha Platinum Dancers kikionyesha umahiri wao wakati wa shindano la
kumsaka mshindi wa dansi la Serengeti fiesta, lililofanyika katika
Ukumbi wa Klabu Lavida , mjini Tanga ikiwa ni sehemu ya maandalizi
ya tamasha la Serengeti fiesta linalotarajiwa kufanyika leo jumamosi
Agosti 23 kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini humo.
Majaji
wa shindano la kumsaka mshindi wa dansi la Serengeti fiesta
wakifuatilia kwa makini namna wasanii wanavyotoana jasho ili kumpata
mshindi wa shindano hilo.
- SerengetiFiesta 2014 added 3 new photos.