DAR ES SALAAM COLLEGE OF HEALTH SCIENCE
KUTWA NA KULALA
SIFA ZA MWOMBAJI
· Awe amemaliza kidato cha nne na kufaulu masomo matatu na kati ya hayo moja wapo iwe Chemistry au Biology kwa kupata alama (D) na kuendelea.
MUDA WA KOZI
· Ni mwaka mmoja na fomu za kujiunga zinapatika Chuoni Majohe Rada (Gongo la Mboto), Chuo cha Ualimu Singida na Dodoma Kisiriri Secretarial Service kwa Tsh: 10,000/= tu.
· Chuo kinatambuliwa na Baraza la Famasia Tanzania.
· Masomo yameanza, 2014
Kwa mawasiliano zaidi:
0713 601763, 0767 929110, 0789044742
Website: www.dcohs.com