DAR ES SALAAM COLLEGE OF HOTEL AND BUSINESS STUDIES

DAR ES SALAAM COLLEGE OF HOTEL AND BUSINESS STUDIES
P.O BOX 40015, TANZANIA EAST AFRICA NAFASI ZA MASOMO YA HOTEL, TOURISM& BUSINESS CERTIFICATE AND DIPLOMA COURSE IN 1. Hotel Reception and front office 2. Food science and Beverage services 3. Tourism and Travel studies 4. Hotel House keeping 5. Food Production Cooking and Bakery 6. Clearing and forwarding 7. Computer studies and Maintenance 8. Accounting 9. Business Administration 10. Procurement & Supply 11. Human Resource Chuo kimesajiliwa NACTE Reg No (BMG/054P) KwaMawasilianozaidi: 0713-601763, 0755-823449, 0789-0447442, 0767-929110

Jack Wilshere ajutia uvutaji sigara.




Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere amesema anajutia kitendo chake cha kupigwa picha akivuta sigara hadharani katika bwawa la kuogelea huko Las Vegas.
Wilshere mwenye miaka 22 amelaumiwa
hasa kwa kuzingatia wakati picha hizo ziliposambaa timu yake ya Uingereza ilikuwa katika kipindi kigumu ikitolewa katika Kombe la Dunia hatua za mwanzo.
Hii ni mara ya pili Wilshere kufumwa akivuta sigara katika kipindi cha miezi tisa.
Mwezi wa kumi, Wilshere alipigwa picha akivuta sigara akiwa nje ya Klabu ya Usiku baada ya kuishinda Napoli.
"Ninajutia," alisema. "haikubaliki na nitakubaliana na matokeo kisha maisha yataendelea."
Meneja Arsenal, Arsene Wenger alimkosoa Wilshere na akasema ataongea nae kuhusu suala hili.