Ras Simba bingwa wa kufundisha Kiingereza anayetikisa
nchi kwa kanuni zake za ajabu za N+S+T na P+H+V alizozigundua Ulaya, leo ametoa
ofa ya kulipa sh.200,000/= tu kwa kozi
yote badala ya sh. 450,000=. Ofa hii ni kwa
mtu yeyote wa Dar , Moro au Arusha atakayelipa
leo. Kozi hii ni kwa mtu yeyote mwenye elimu ya msingi, sekondari au chuo.
Usipoweza kuongea na kuandika Kiingereza fasaha ndani ya miezi 3 tu Ras Simba
atakurudishia ada yako. Kuwa macho na
matapeli wanaotumia jina la Ras Simba. Ufuatao ni mfano wa ufundishaji wa Ras
Simba:-
Kiingereza: I have
been beaten by
Kinjekitile.
Jinsi ya kutamka: (Ai hevu bini biten bai Kinjekitile).
Kiswahili: Nimepigwa na Kinjekitile.
Sehemu ya nyakati: wakati uliopo timilifu katika hali ya
kutendewa.
Maana yake: tendo hili
la kupigwa limetimia muda huu huu.
Lipa leo ofisini kwa Ras
Simba au kupitia Tigo pesa 0718 542424 au M- Pesa 0767 692969.