DAR ES SALAAM COLLEGE OF HOTEL AND BUSINESS STUDIES

DAR ES SALAAM COLLEGE OF HOTEL AND BUSINESS STUDIES
P.O BOX 40015, TANZANIA EAST AFRICA NAFASI ZA MASOMO YA HOTEL, TOURISM& BUSINESS CERTIFICATE AND DIPLOMA COURSE IN 1. Hotel Reception and front office 2. Food science and Beverage services 3. Tourism and Travel studies 4. Hotel House keeping 5. Food Production Cooking and Bakery 6. Clearing and forwarding 7. Computer studies and Maintenance 8. Accounting 9. Business Administration 10. Procurement & Supply 11. Human Resource Chuo kimesajiliwa NACTE Reg No (BMG/054P) KwaMawasilianozaidi: 0713-601763, 0755-823449, 0789-0447442, 0767-929110

Malkia azindua michezo ya madola


Malkia Elizabeth ameifungua rasmi michezo hiyo kwa kuusoma ujumbe wake uliokuwa umehifadhiwa katika kile kinachofahamika kama the Commonwealth
baton yaani mwenge wa jumuiya ya madola.
Maelfu ya wanamichezo kutoka nchi 71 wameshiriki katika ufunguzi huo mbele ya watu elfu 40 waliokuwa uwanjani huku dunia ikifuatilia kupitia vyombo vya habari.
Hali ya hewa katika mji wa Glasgow leo imetambulishwa rasmi kuwa ndiyo yenye joto Zaidi kwa mwaka huu baada ya kufikia digrii 25c.
Michezo hiyo itahusisha michezo 17 kwa siku 11.
Michezo ya jumuiya ya madola uhusisha nchi zilizowahi kuwa chini ya utawala wa himaya ya uingereza.