CHUO CHA UALIMU WEST DAR ES SALAAM
KIMESAJILIWA KWA Na. CU 83
KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KATIKA
NGAZI ZIFUATAZO
1. UALIMU DARAJA LA III A
SIFA: Awe
amemaliza kidato cha nne sio zaidi ya miaka mitano tangu alipomaliza kidato cha
nne.
MUDA: Miaka
miwili (2) tu.
ADA: Ni
nafuu sana kwa wanachuo wa bweni na kutwa (nafasi za bweni zipo).
Serikali
inatoa ajira kwa wahitimu wote.
2. UALIMU WA ELIMU YA AWALI (NURSERY).
SIFA: Awe
amemaliza kidato cha nne na kupata japo leaving certificate mwaka wowote.
MUDA: Mwaka
mmoja (1) tu.
ADA: Ni
nafuu kwa wanachuo wa bweni na kutwa (nafasi za bweni zipo).
Chuo
kinakusaidia kupata ajira.
3. DIPLOMA YA UALIMU ELIMU YA AWALI, SHULE ZA MSINGI
SIFA: Awe amemaliza kidato cha nne na kuwa pass nne (D nne)
na kuendelea.
MUDA: Miaka mitatu (3)
CHUO KIPO GONGO LA MBOTO – MAJOHE RADA
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA
ZIFUATAZO:-
0713 601763, 0718 049436, 0682 397099, 0766 191969, 0754 857511, 0784
522396