DAR ES SALAAM COLLEGE OF HOTEL AND BUSINESS STUDIES

DAR ES SALAAM COLLEGE OF HOTEL AND BUSINESS STUDIES
P.O BOX 40015, TANZANIA EAST AFRICA NAFASI ZA MASOMO YA HOTEL, TOURISM& BUSINESS CERTIFICATE AND DIPLOMA COURSE IN 1. Hotel Reception and front office 2. Food science and Beverage services 3. Tourism and Travel studies 4. Hotel House keeping 5. Food Production Cooking and Bakery 6. Clearing and forwarding 7. Computer studies and Maintenance 8. Accounting 9. Business Administration 10. Procurement & Supply 11. Human Resource Chuo kimesajiliwa NACTE Reg No (BMG/054P) KwaMawasilianozaidi: 0713-601763, 0755-823449, 0789-0447442, 0767-929110

Lucy Komba: Harusi yangu itakuwa ‘simple’ sana


Lucy KombaMWANADADA anayefanya vizuri katika filamu, Lucy Komba, amesema harusi yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni itakuwa ya kawaida sana
‘simple’ kuliko harusi nyingine za wasanii ambazo zimewahi kufanyika.
Akizungumza na safu hii, Komba alisema anafanya hivyo kutokana na mume anayemuoa kutotaka makuu, ambapo watu 300 wanatarajia kuhudhuria.
Kuhusu mipango ya harusi, alisema inaenda vizuri na tayari zaidi ya nusu ya aliowapa mwaliko wamethibitisha kuhudhuria.
Sherehe za harusi hiyo z itafanyikia ukumbi wa Makumbusho jijini Dar es Salaam.