CHUO CHA UALIMU SINGIDA CHENYE USAJILI NAMBA CU 73 CHUO KINA USAJILI WA NACTE Na REG/TLF/010P
KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO
KWA MUHULA WA KWANZA JULAI 2014 KAMA IFUATAVYO.
1. CHETI CHA MSINGI CHA ELIMU YA UALIMU WA MSINGI NGAZI YA NNE (NTA 4) MUDA MWAKA MOJA KWA MWENYE UFAULU WA DARAJA LA NNE (IV) MWENYE PASS NNE (D NNE). Fomu zina patikana Chuo cha Ualimu Singida.
2.
UALIMU DARAJA LA TATU ‘A’ MIAKA MIWILI KWA WALIOMALIZA MASOMO
YAO KUANZIA MWAKA 2004 – 2012 AMBAO WANA ALAMA 27 NA WALIOMALIZA MASOMO
YAO MWAKA 2013 WENYE ALAMA MWISHO 34. Fomu zina patikana Chuo cha
Ualimu Singida.
3.
STASHAHADA YA UALIMU SHULE ZA MSINGI MAFUNZO KAZINI MUDA WA
MIAKA MIWILI, AWE NA CHETI CHA DARAJA LA TATU ‘A’ NA AWE NA UZOEFU
KAZINI ANGALAU MIAKA MIWILI (2) AU AWE NA CHETI CHOCHOTE CHA CHUO
KINACHOTAMBULIKA NA NACTE. JISAJILI KUPITIA TOVUTI YA BARAZA LA ELIMU YA
UFUNDI TANZANIA (NACTE) www.nacte.go.tz
Ø KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NA:
0784-42 76 58, 0657-12 12 31, 0754-76 86 02 NA 0784-68 01 31