DAR ES SALAAM COLLEGE OF HOTEL AND BUSINESS STUDIES

DAR ES SALAAM COLLEGE OF HOTEL AND BUSINESS STUDIES
P.O BOX 40015, TANZANIA EAST AFRICA NAFASI ZA MASOMO YA HOTEL, TOURISM& BUSINESS CERTIFICATE AND DIPLOMA COURSE IN 1. Hotel Reception and front office 2. Food science and Beverage services 3. Tourism and Travel studies 4. Hotel House keeping 5. Food Production Cooking and Bakery 6. Clearing and forwarding 7. Computer studies and Maintenance 8. Accounting 9. Business Administration 10. Procurement & Supply 11. Human Resource Chuo kimesajiliwa NACTE Reg No (BMG/054P) KwaMawasilianozaidi: 0713-601763, 0755-823449, 0789-0447442, 0767-929110

Nan Kize kaibuka na `usintese`

Msanii wa bongo fleva Nan Kize mwenye makazi yake mji kasoro bahari Morogoro, maeneo ya kihonda ameibuka na songi jipya `usintese` akiongea toka maeneo ya Mo town studio Nan Kize amesema` sasa nimeibuka na songi mpya ambayo ni kali kuliko niliyo rekodi katika studio ya Mo town iliyopo hapa mjini Morogoro naomba washabiki wangu wanipe sapoti kwa songi langu jipya` alisema Nan Kize. wiki ijayo blog hii www.afrikayaleo.blogspot.com itaweka hewani nyimbo hii mpya.